Shirika la Habari la Hawza – Video hii, iliyotengenezwa kwa kutumia akili bandia (AI), inaonesha kwa njia ya ishara kutimia kwa ahadi iliyotolewa na Ayatullah Sayyid Mujtaba Khamenei baada ya kuuawa kishahidi Imam Sayyid Ali Khamenei pamoja na mashahidi wengine wa vita viwili vya mwisho vya kulazimishwa dhidi ya wananchi wa Iran.
Katika hotuba yake, alisisitiza upya ahadi ya kuilinda na kuendeleza njia ya mashahidi, na akabainisha kuwa kulipiza kisasi kwa damu yao takatifu ni ahadi isiyoweza kubatilishwa. Alisisitiza kwamba hakuna hata mmoja miongoni mwa waliohusika—kuanzia viongozi wakuu hadi watekelezaji wa mwisho—atakayeepuka mkono wa haki, na kwamba: "watakwenda kaburini wakiwa wanatamani kufa kwa utulivu wakiwa vitandani mwao."
Maoni yako